Kioo
Sheng' Mtaani

Watoi Wachapwe viboko shule au la?

Corporal punishment ni preventive but si cure ya indiscipline. One time, nikiwa kidato, maprefects waliamua kutucharaza viboko. One after another, mamono mtu 230 plus, tulitandikwa chini kama carpet na haga zetu zikatembelewa na viboko. Not once nikiwa system, did teachers cane us that much.

Na although some teachers walikuwa na tendency ya kucharaza mastudee, hii story ilikuwa regulated sana. So, kusikia CS anadai kurudisha caning back to schools, inaraise eyebrows.

In my two cents, although corporal punishment ilikuwa abolished in 2001, hio samoo ilikuwa bado iko chuo. It was in 2013 time tulicharazwa na members of the student body ya chuo yetu. While hao boys hawakuwa na io authority, hakuna much that walifanyiwa. I guess defense yao ilikuwa, tulikuwa indiscipline na hatukuwa tunafanya waks kama kufagia daro, kupanguza dorm na kadhalika.

Maybe swali tunafaa kujiuliza ni, mamode wanafaa kupunish aje undisciplined and disobedient students? Suspensiuon ni enough kweli? Incase studee aumie in the process ya kuchapwa, consequences ni gani kwa mode?

Inashangaza sana opponents wa reintroduction of corporal punishment, hawana other measures zinaezasaidia kudirect students to be disciplined.

Ukiconsult Ian Pavlov, atakushoo ati orporal punishment hufanya mtu kuassociate pain na bad behavior. Hii ndio reason why, an undisciplined student anafaa kuchapwa the moment amekosa. Hii itacondition mind yake na atatry kuavoid kurudia the same mistake. But hii ni theory tu, unaona kama inawork?

Ni safe kuargue that caning inahelp sana. Hio ndio ufanya some students waimprove performance. Ndio hufanya wengine waache kulenga daro na kuchelewa/kumiss preps. But ni work kumention that caning sio cure ya indiscipline. Hii ni preventive measure tu, theory ya Ivan Pavlov (classical conditioning/Pavlovian theory) inasubstantiate hii fact.

So ni poa kwa stakeholders wa education wacome up na new and effective ways za kuadminister punishment, and leave the cane for the past century. Caning inafaa itumiwe tu when necessary. Also, collective punishment ikikam to the picture, haibenefit either the teacher au studee. So ni better kubonga na mwanafunzi na pia kuoffer psychological support. Huezijua kwenye stude anatoka kukoje.

Naezadai kujua experience yako na corporal punishment.Ushawahipitia? Unaezataka irudishwe au zii? Rusha response pale comment section tujue inakuaje.

Related posts