Kioo
Sheng' Mtaani

Venye Unaeza style up kwa Job usipatwe na ngori mob

Ola? Niaje bazuu. Shukran kwa kutegea. Niko tifi on my end. Ushaijiuliza kama kuna gap between generation yetu na ya akina pero zetu? Mi sijawahi. Point is, though, kuna gap fulani yenye usipochunga utajipata umeburn vibaya sana. One of the places unaezachoma, ni place unapiga wera.

So hapa hivi nimecome up na list fulani mwaki ya vitu millennials hudo kwa workplace, zenye zinaezawacost. Additionally, how to behave.

Perepere mob

Hii tabia ya kubonga sana without listening ni mbovu. Listening is very important kwa process ya communication, na husaidia msee kuget what the other person anasema.

When, for example, unabonga na msee ako more experienced than you, make it a habit kumsikiliza more than kuongea. Ukianza kubonga sana, compounded with negative beliefs the older generations have about us, utaonekana self-centred na hauna respect.

Alafu, the better part ya kulisten more than kutalk, ni ati utamake a better impression na in the process utalearn more.

Multitasking.

Hii nayo inawezawork mbaya kama unachat na mtu na kufanya your own stuff. But kwa workplace? Zii. Imekuwa proved that multitasking iko ineffective kwa work place.

Mavijanaa wamegro up na tech mkononi. So na io mentality, wanaezakuwa lutred into the traps of multitasking, thinking that wataaccomplish a lot. But truth is, ata ufanye job mob na pace faster aje, itapunguza productivity yako.

Kucheck tenje all the time

Thanks to technology, utajipata uko plugged in kila mara. Unadai kucheck pale wozap, Fb na tik tok.

The worst part is, kuna perception, au ukweli unaezadeny, that you are addicted to technological devices like lappi na simu.

To beat your employers at their own game and prove them otherwise, ata kama sio wrong, avoid kutumia simu mkihave a conversation, na uconcentrate kwa kazi more than your device.

Kumake demands

Request inasound fiti sana coming from you. Kwanza kama you are a millennial in the workplace.

Making demands na kuset rigid requirements kwa workplace inaezakukuletea ngori. Alternatively, uidai kuvoice opinions za kwako, ni poa kuturn demands into requests. Your employers wako likely kukusikizana kuwork on your grievances, ukiwaapproach peacefully.

But hii haimean ukanyagie story kama inakupress.

In conclusion, kuna habits kibao san zenye millennials wanafaa kustyle up.But hizo ni just but a few. Rusha zako pale comment section tuchanuane.

BY: BRIAN KHAVALAJI

Related posts