Kioo
Sheng' Mtaani

Stuff unapost Mneti Zinaezafanya Ukose Kuland Your Dream Job

Mambo ni gweng out here kama unachapisha posts mtandaoni without thinking twice. Walahi kuna ripoti eti data haikufi.Na internet never forgets. And that is why unafaa kuwa very careful uki post stuff online. Nowadays, ma-employer wanapitapita shoshomedia ndi wajue ni employee yupi anafit kwa wasee wanatafuta, na pia kuprotect reputation yao out there.

Survey moja ilipigwa na majamaa wanajiita WhoIsHostingThis ilchambua eti employer mmoja kati ya kamjeshi ya watano, hudenny employees opportunities ju ya vitu wao hupost mtandaoni.

Job Recruiter Jolene Risch anadai si bad content pekee ndio wao hucheki mtandaoni. Before wakuite interview, wao humake sure wamepiga background check wakujue design inafaa. In that note, wao hucheki grammar na spelling, cos social media yako ni your online resume. Additionally. Sexist, racist na curse word comments huwa redflags, na such candidates hutupiliwa mbali.

Juzi juzi tu kuna wiminz fulani amenyimwa visa ya kuishia Australia for a scholarship. Habari zinazofanya rounds mneti zinashow ati hii ilikuwa because of post nifla aliweka pale twitter in 2017. Hio post ilikuwa thread nifla kuhusu homosexuality.Apparently aliambiwa she is homophobic. Hivo hivo ndio huyu doki alikuwa amepata scholarship ya Masters alipoteza bahati.

In another instance, Justine Sacco,a PR executive akiwa maraoundi pale South Africa, alipata mail ikimsho employer wake amemfire. Chanzo ni ati, akiboard ndege to SA, kubamba followers wake 170, alipost: ”Going to Africa.Hope I don’t get AIDS.Just kidding.I’m white.”By the time alikuwa amedunda SA tweet yake ilikuwa imego viral. At that moment, employer wake alimlisha kalamu.

Lastly ni hapa nyumbani, when Tourism CS Najib Balala alirevoke appointment ya blogger Pauline Njoroge to be a board member wa Tourism Regulatory Authority.Mambo ilikuwa donje after Najib amerealize, kutoka kwa reactions za wasee mtandaoni, ati kuna comment Pauline Njoroge alimake about Nairobi National Park yenye haukusit poa. In part on an old post, The facebook bigwig aliterm Nairobi national park as being “Economically redundant.”

Vile umecheki, kuna design vitu unapost mtandaoni nawezakukchafulia CV ukiwa unasaka wera. But ata hivo, kama kiongos unaezataka kupiga tei kiasi. But as you do so, jua ni photos ngapi unapost, ni comments gani unachapisha. Before you hit send/publish,kumbuka future yako iko in the hands of such data.

Alafu, if now unaona uko kwa io ngori, usitense. Kama izo photos ni memories, unaezadownload na uzistore vizuri. Then delete izo tings from the vicinity of any online user. Fanya social media cleansing ju one day, your past might haunt you.

Otherwise vile umecheki, ni very important kukeep it clean pale shoshomedia. But kama ni kupost, usioverdo vitu zingine. Jinice na ukumbuke pia kunice social media presence yake.

Related posts