Kioo
Sheng' Mtaani

Siku chungwa Vipoa Nakuru

Mguyz, ogopa Nakuru. Last time I traveled husikii nilifikanga pale Dalamere (our usual spot pa kurelax na kudishi ka-something, kujisaidia na kukunywa waba) na nikauziwa chipo baridi na samosa. Siku-mind.

So juzi mtunguyaz nimekuwa niki-travel back to Kanairo. Home kumekuwa fiti. Nimetesa sana but usisahau kuteseke pia!Na si mangeus wa jiji walikuwa wamenimiss! Am kidding.

Nakuanga na motion sickness. Walahi sikuwahitambua hii ugonjwa/condition inaitwa this way. If not for Maggie, maze ningekuwa bado nawa-show ati I am allergic to smoke ya gari.

The motion sickness hu-call for some preventive measures. Kadawa pale. Unakameza before safari. Ukilenga hii step maze uta-puk mambo bad. And it never makes the journey enjoyable, kwanza kama unatumia shuttle. Almost eight hours za discomfort.Nothing you want.

I knew, after taking the pill, thinks zingekuwa fiti. Fare ilikuwa 2k. Tangu lini? Macondaa wa Kapsabet nao wamebonda sura you can’t bargain. Machoos tu.

Journey ilikuwa safi design ya noma. But vile tulikuwa almost Naks nikafeel kamchafuko fulani. Design ni kama ningevomit anytime. I texted my friend Day, nikamashoo. She told me at, “Tusiongelee hio  story. We are feeding it. “ Then akarecommend nibuy ndimu au oranges, zingenihelp.

Mvumilivu,nikatulia tu through io  discomfort adi tukafika place fulani tukatulia. Bladder zikarelease prisoners. Wa kudishi wakadishi. Nikastroll kiasi nikiulizia machungwa au lemon. Bazenga fulani akanishoo ako na machungwa na moja inatoka na 40 bob. Yaani makumi manne!

Iliniuma sana!

Sikuchungwa vizuri kwa kuuziwa chungwa at 40 KES. In simple mazmatics, io ni chapo mbili beans zilizama hivo. It was an insult. Kama angekuwa Nai, kwa stall, tungesema anahitaji pesa ya rent.

Just the fact that ako kwa highway, ako  na audacity ya kufanya oranges ianze kutangatanga kwa whatsapp group ya  two married apples. It is a criminal offence. This should be rebuked bana. Ni hii tabia ndio inafanya Kenya haiendelei. But what do I know?

I was happy though, after a long uncomfortable journey, tulipofika pale Wetlands, nilivomit .I had taken nothing in the morning, so ilikuwa tu io orange. Na  sasa  after that nikafeel better. Safari ikanice adi Bus Station. I was back to the city.

As I finish bana, “buy Kenya,support Kenya” sio joke. Ile siku utabuy royco cube na  35 ndio utajua. Meanwhile your nguy amefika jiji. Expect quality sheng’ stuff. Till then, njanuary ikunice design inafaa.

By: Brian Khavalaji

Related posts