Kioo
Sheng' Mtaani

Sare Youtube, Hizi ni Reasons Unafaa Kuanzisha Podcast Ya Yours

For two years, nimekuwa nikilearn mechanics za design podcasts zihuwork. Na kama kuna place unaezagrow videadly sana, then ni industry ya podcasting.

Simply put, podcast ni audio file yenye unaezaiaccess mneti. Sometimes huwa series na other times episodes are different. Hizi ni reasons kadhaa mbona ziko so important.

Low competition.

Two years ago music streaming platform kama spotify ndio zilikuwa the go to place kama unadai kusikiza music. Today, kuna apps kadhaa, thanks to podcasting, zenye zinahelp kuhost na kustream audio content.

Just like youtube, podcasts ziko na a variety of content, from humor, self development, to prison stories. Kitu important ni, very few people wanaitumia. So kama mimi ni wewe, nitaanza leo tu!

Listeners ni kibao. Design uko unique na content yako ndio itafanya ustand out(na io ndio kitu inahitajika.) Cheki hi dhaf, by 2019 hapo, kulikuwa na facebook pages za biz kitu 8M, na podcasts like 700K. Now, ukianza kusearch hizi podcasts by topics, utapata very few of them zinabonga kuhusu kitu unadai kufanya. Na hii compee kiasi ndio inahitajika kukumake the next big thing.

Popularity ya podcasts inagrow.

Statistics zinashow that by this year, 2021, listeners wa podcasts wanafaa kuwa wamegrow to 115. Pale 2018, only mamjamaa 48M walikuwa wanasikiza podcasts weekly. 

Hii growth ni opportunity yako kama content creator kuanza kuxchangamkia design utaanza kuchapilia misumari pale kwa pod, uchape kazi.

In kenya for example. Podcast few sana ndio ziko popular. Example fiti ni Legally clueless ya Adele Onyango na the spread pod by Kaz. Ukianza leo na uwe consistent, haitatake long before umake it.

Ni cheaper kuproduce podcasts than video content

Ukiwa na phone, na place quite unaezarecord podcast yako bila ngori. 

Unaezarecord from anywhere uko, meaning hautakuwa na travel costs(if you haufai kutravel.) Editing waezapiga tu kwa apps kama Anchor FM, which means, kama hujui kuedit, then hakuna need ya kulipa msee ju Anchor itakuhelp ujue what to do.Plus common sense.

Ukishashika vipo, consider kubuy equipment imeweza. Invest kwa mics fiti, na utawin bigger than today.

Finally, podcasts ni kama a virgin land. The moment utarealize hii simple truth, content yako itasell vinoma sana.

By; Brian Khavalaji

Related posts