Kioo
Sheng' Mtaani

Reasons Why Unafaa Kubeba Menjee Time Ya Charity.

Kubeba camera ukienda event charity ni kitu jamo inafaa kuwa on your priority list. Plus, itakuokolea vinoma sana.

Kuna day nilivisit masa fulani pale Kibera na nikapost pics kadhaa. Vile tu nilipost hivi mtandao, kuna maguys walislide DM nakunishambulia.

Obviously, niliexpect watu kama hao. Wale wanafeel, kuishia na camera kwa event ya charity ni show off. That unafaa kuishia tu huko ufanye vitu silently. Na, this where they go wrong.

Maguys, charity hutoka kwa heart. Ni something form within. So ukiamua kuchangamkia mapic na mavidaa, then be it. As long as intentions zako ni pure, jinyime io time ya kupanick.

Njambi, founder wa Youngstar Generation Pillar organization, huorganize visits to children’s homes, homes for the elderly na places kama hizo mob. Most of the times, wao hutake photos na videos. Cheki reasons zao;

  • Hucreate memories

Memories matter. Moments pia. Kutake photo ya morio akibongesha mkidi kwa children’s home, then upate io photo ten years later, kuna chance utamarvel at how times imefly, ukumbuke io day.

Kumake events unaenda worthy, take a photo au vidaa short, alafu peperusha pale mtandao wasee waone vile unacapture na kucreate memories. Hii utaikumbuka sana!

  • Kutell stories

Wadau hudai mboto jamo hutell a thousand words. Ni true. But importantly, photos hutell stories. Vile watoi wako na furaha after umewavisit. Vile wako na issues zinawaaffect. Pia, vile tu io day imekua; challenges na success.

  • Kutumia kwa social media

Photos na vidaa ni content fiti ya social media. Ndio ukue na social media presence, lazima mpost photos relevant ya kuattract followers, well-wishers na donors. So kutake photos ukiwa kwa event inaweza saidia hii sector sana.

  • Kuomba help

Other times, unaezadai kuomba usaidizi from big guys. Watadai uwashoo evidence that kuna kitu unadunga kwelii. Ukiwashoo portfolio yako, na uongeze links za social media, wanaezaona vile uko serious na waamue kupatner ama kusponsor your course. Ni hivi ndio wajanja huget help from the corporate world.

Nahope nimekucomb kuhusu hii risto ya kucarry menjee ukiishia event ya charity. So, go out there,na ufanye mambo awesome.

By: Brian Khavalaji

Related posts