Kioo
Sheng' Mtaani

Mguys Shikisha Keja Yako Uzike Story Za Kulishwa Exiles

Jana (14 February, 2020) Kuna mguyz alishare photo pale twitter ikionyesha yeye(partly) na roomie wake akiwa na mdem.

Kitu ilikuwa ihappen haikuhappen ju msee aliamua hangechomoka kwa hio hao. So valentino ya love birds ikaharibika hivo. Ikabidi wamekachora na kukachorea.

Hii ngori ya kulishwa exiles na roomie inaezaisha msee ukijipanga. Uwe dem au chali, kuna vitu huwa unataka kufanya privately. That is why, unaneed kuhave a place of your own. This way, utado kitu unadai ku-do bila wasiwasi.

With a roomie, huwezileta mdem au chali yako for a sleep over without kufikiria about inconveniences. In many instances, you can’t do private studies na stuff kama izo without judgy eyes, distractions and the likes.

Ukiwa na keja yako pekee, utaamua ni nini utadishi, at what time, no more importantly, utajua kujimanage. Romies wengine  hukam na habits hupendi, cultures zinakuscare, na beliefs zenye ziko out of this world.

Ukiwa na a place of your own(of course kwenye umelipa rent), means ikikam ni pande ya mausafi, utakuwa unamanage mess yako pekee. Mamjamaa wengine ni untidy sana, keeping the hao clean inakuwa noma. Ukiwa solo, hii haitakuwa ngori kwako, especially kama unapenda kung’arisha keja.

Pande ya home decor, unaezadecide kupiga design vile unadai. Posters za movie. Gazeti. Vitambaa. Artistic pieces. Zote zitakam as per your choice and preferences.

Kuishi solo inakupea io opportunity ya kujijua deeply. Ukiwa pekee, unapata chance ya kureflect on you habits, unaget kujua zipi hukulet down, zipi hukuhurt na kuhurt wengine. Unalearn more about you na design ya kuchange.

Ukiishi solo, unamake decisions zako pekee. For example, when it comes to finances, hakuna msee atakuinfluence kuspend more than necessary unless unataka. This means uko responsible for your actions, na thus at a better place than ungeishi na msee muanze kuletana ju u coz ya decisions ulimake time alikuinfluence.

As I conclude, kuishi solo iko na challenges poa. But hizi challenges zitafanya ukomae, na ujue vile utaface difficult situations za life. I hope kama hao keja yako pekee utaanza kurethink about it. Usilishwe exile na hauna place ya kuenda. utado?

Related posts