Kioo
Sheng' Mtaani

Kulearn Extra Skills Itakuhelp Kusecure Job Position.

Kuna reasons kibaobona unaneed kulearn a new skill apart from vitu unasoma kwa mbuku on your course.

One ni ati, job market inaevolve. Kuna new technologies zinacome up zenye employee anafaa kuwa na skills zake, or else aume nje.

Two, waks zingine already zishaanza kuwa replaced na this new technologies. For example, companies kadhaa zinatumia bots kama representative wao. Example ya bot ni Zuri wa Safaricom. As much as kuna customer care wengi, Zuri hufastisha hii process. So imagine kama hii ndio field yako, alafu bot inakureplace?

Ku-go an extra mile haiwezikuharm. Ata kama wewe sio book smart, kuna hii smartness inahitajika kwa life. Whatever school of thought umesubscribe to;an A student working for a C student ama vice versa, pillar biggie kwa job huwa skills unaposses.

Kuweka hii Samoo into perspective, acha tutumie example ya Victor na June. Wakiwa compus, walidunga course jamo. Thereafter, wakaanza kusaka wera. Luckily, waliapply in the same company. Victor akiwa campoo alidai hangejifunza graphic design, ju hakuona place ingeapply kwa kudesign websites. On the other hand, June alichangamkia tutorials pale youtube na ata alikuwa ameundia maarif wake some logos na bronchures. June alikuwa ma background fiti than Victor. June alipewa wera.

From example ya June na Victor, no poa kurealize mapema that learning haiishi. Na kama kitu itakubenefit, ata kama ni 10 years later, ichangamkie.

Kitu poa na generation tuko ni ati, kuna a lot of resources zenye ni helpful. Kuongezea, most ni free. So kitu tunahitaji tu ni commitment na effort.

Whatever field uko, try kucheki job adverts alafu uone core skills employers wananeed. Then start kuzilearn polepole. With time, utamaster hizo skills na ukue expert io sector.

Nikimada, usikue kama Victor. Ignorance itamurder chances zako kusucceed. Usikuwe the lot that hutarmark sana ju ati hakuna jobs. Jobs hupewa watu skilled.

By: Brian Khavalaji

Related posts