Ni festive season. Ile time una-need tu ku-relax na ka-Netflix(kaa una mshikaji ongeza chill hapo mbele), ku-surf mtandao au ata ku-listen to your favourite podcast. But like all luxury, hizi stuff hukam na costs,sana sana data bundles, kama hujafika ligi ya kukuwa na Wi-Fi. So unaezakuwa tempted ku-buy bundles mwitu kutoka kwa majamaa online.
Utaona io ni step ingine mwoto sana, and we can’t blame you, pavary does that. After all, the rates ziko cheap na zinalast longer than normal data. Plus si bado unajiconvince data ya saf huisha ni Kama unatumia na jirani?
Ntakushow hivi. Bundles mwitu ni jina tu. Hawa scammers wako all over na wako hustle kama any other person. Wako prominent on facebook; kuwa macho kucheki izo ads zao.
Hawakubali pay after

Nimefuatilia hii story for long, na nime-realize hawa wasee hakuna day watakubali kuload data then uwalipe, nefa! Hii kitu ni redflag moja hatari. Hakuna vile utalipia hoteli before uanze kukula.
Nimeinbox hawa mapedi kadhaa, na most of them walinishoo kama silipi kwanza, heri tu nisake dealer mwingine.Mmoja alisuppliment convincing yake na,”lipa kwanza nita-load after two minutes.” Hii ni lugha ya biashara, utangoja hadi the second coming of Mkuu Jesu.
Tenje mbili
Nilidive deep nikarealize most of them wako na two numbers.Moja ya communication na ingine ya kureceive payments. Once you send the payment, they withdraw then unapigwa block. Smooth hivo tu.
Half before, half after
Ili kubuild trust na customers, most online sellers hukubali payment in half, then wakideliver to the client, wanatumiwa izo winch zingine. Wauza bundles mwitu si rahisi wakubali hii arrangement. Utapata wanakushoo wako works and they can’t risk. Hii ni lugha tu. Chunga sana usifanywe kalameni wa kubiwa mchana.
Ikifika point umewa-convince that utatuma half them after wameload urushe io mabaki, buda atabambika mbaya. Then minutes after umetuma ataenda missing;AWOL. Uki-try kureverse unapata alishatoa.Machooos tu!
So unaeza-do nini kumake sure hawa frauds ters wanakamatwa na kutiwa nguvuni, meanwhile ukifanya mtandao kuwa safe?
•Usibuy data kutoka kwa mikora online, especially watu hujui. Utalia sana! Premium tears yoh.
•Unaezatag DCI on social media.Stuff za cyber crime wao huwa wamejinauwo nazo kwa mwendo wa Kipchoge.
•Report the matter kwa polisi wako around. Enda na evidence ya kuwa conned.
Hope utakuwa rada msee usichujwe mukuchu ukiona. Chanua mbogi pia isije ikafanyiwa vile Ariel hufanyia nguo zikifuliwa.
By: Brian Khavalaji