Kioo
Sheng' Mtaani

Hizi Tips Zitakusaidia Kubuild Relationship Fiti Na Customers Wako.

Uko na biz na unashangaa mbona kila time customers hupita kwako na wanaishia kubuy kwa shop/biz next. Inaezakuwa tu kitu simple kama vile wewe hutreat customers wako.

Customers ni watu valuable sana. As much as unafaa kucheza na business etiquette, customers wengine wako tu rude naturally. But kuna vile unaezanavigate through the storms, upate ata yule customer mrude anabehave properly. Acha nikuchanue kiasi.

Leo nimebonga na ninja fulani anaitwa Joakim. Huyu mdau ni msee hutengeneza mtura mtaa fulani karibu na Highrise Estate, Nairobi. On Wed March 31, 2020 nilihave chit chat na yeye. Alinishoo design curfew imemharibia biz vizii. In our convo, mguyz alinishoo vile yeye huget nyanya na vitunguu fresh, ndio akitengeneza kachumbari, customers wake wanabambika sana.

Alinishoo siri ni kubonga nice na mama mboga. Hii inamean, ata kukiwa kunoma aje, mama mboga atafanya juu chini mzito apate nyanya zake. Aliadd that, sio easy kupata muuzaji wa izo ingredients mwenye ako consistent. So yeye hubonga vinice, kisha analipa akibuy orders zake bila kufail. That way, mama mboga analeta tomatoes na onions quality, na Kioko analipa na kutengeneza kachumbari safi.

Kama tu vile umecheki, ata small biz lazima usafishe rada, in what we call public relations. Lazima biz yako istand out na design unarelate na customers wako.

Msee mwingine nadai kubonga kuhusu ni Kevoo. Huyu boys anatoka Mbui Nzau, huko Makueni county. Nikiwa pitapita zangu, nilimeet huyu boyz akitengeneza vikapu/baskets. Kitu moja ilinistrike na Voke in ability yake ya storytelling. Huyu boyz alinichapia mastory kadhaa. Alinichanua design mayutman io mtaa wamelalisha, hawadai self employment. Na ilikuwa evident ju along a very long stretch kwa hio highway, ni yeye pekee alikuwa kijanaa akidunga io works ya kutengeneza baskets. Hizo story zake captivating zilifanya nimebuy kabusket kwake. 

Hii kuongea na watu, kubuild rapport ni muhimu. Inaacha msee ako so consumed adi anarelate na biz yako. Hii ni strategy moja ya advertising inaezakukuboost kama wewe unafanya biz yenye unainterract na wasee mob on a daily. Siri ni kuweka msee engaged. Mjulie hali. Mchapie story unrelated to your biz. Ukishaget attention, now introduce your protect. Usipouza io time, at least umecreate a good relationship na customer. Na by the way, wasee hupenda stories sana ju life ni boring!

Kufika hapo niruhusu nikunje jamvi. Remember, bonga na customers, provide quality products and services and win big.

By; Brian Khavalaji

Related posts