Category : Sheng’ Mtaani
Hizi Tips Zitakusaidia ku-utilize Phone Addiction To Your Advantage
Mimi ni phone addict. Since 2016, nimekuwa nikitumia mtandao, especially Facebook excessively. While nadai kukeep tabs na the world out there, me hurealize after siku...
Connections Utaneed 10 Years From Now Ni Squad inakusurround Sahii.
Naspent a lot of time pale LinkedIn nikisaka wasee wenye tunahsare interests. Hapo LinkedIn, hawa machampee wanaitwa connections. However utaiangalia, one way or the other,...
Sare Youtube, Hizi ni Reasons Unafaa Kuanzisha Podcast Ya Yours
For two years, nimekuwa nikilearn mechanics za design podcasts zihuwork. Na kama kuna place unaezagrow videadly sana, then ni industry ya podcasting. Simply put, podcast...
Hizi Tips Zitakusaidia Kubuild Relationship Fiti Na Customers Wako.
Uko na biz na unashangaa mbona kila time customers hupita kwako na wanaishia kubuy kwa shop/biz next. Inaezakuwa tu kitu simple kama vile wewe hutreat...
Kuinvest In Yourself Ni Decision Biggy Unaezamake kama Youth
Kama unakuanga macho, lazima umesikia hii phrase ya kilami, “invest in yourself,” ama hii, “Investing in yourself is the best decision.” Izo sio words tu....
Hustle yako itashika vinoma ukitumia hizi working tips.
Jana, Wed March 10, 2021 kulikuwa na event jamo pale Riara Uni. Io event inakuanga every once a year, kucreate awareness about clubs. Kunakuanga na...
Tuma kitu, comrades are suffering of hunger
While it can be seen as a Moi University affairs, students going for days without eating is an additional ‘course unit’ as some put it....
Kulearn Extra Skills Itakuhelp Kusecure Job Position.
Kuna reasons kibaobona unaneed kulearn a new skill apart from vitu unasoma kwa mbuku on your course. One ni ati, job market inaevolve. Kuna new...
Movie Mpya ya Netflix ‘I Care a lot’ ni Lesson Biggie Kwa Raia Ku-take Care Maperoo
Kuna movie mpya in town na sijaipenda kabisa. Sijawahipenda book au movie yenye villain mbona au main character anadedi/kuuliwa. But all in all, unaezaget lessons...
Reasons Why Unafaa Kubeba Menjee Time Ya Charity.
Kubeba camera ukienda event charity ni kitu jamo inafaa kuwa on your priority list. Plus, itakuokolea vinoma sana. Kuna day nilivisit masa fulani pale Kibera...