Kioo
News

Agness Wambiri azusha juu ya DNA story.

Hiyo story ya DNA imetoka kuwa Huyo Mp ni baba wa mtoi mmoja sio hao wote wawili.

Agnes anadai kuwa Mp Justus Murunga ndio baba wa watoi wake wote.

Speaking through her lawyer huyo madhee anasema kuwa walikuwa kwa relationship na the late MP Murunga kama 7 years hivi.

Image courtesy

Anasema Mp alimzalisha hao watoi wawili wote (boy wa 7 years na huyo dem wa 3 years old respectively)

Amejamishwa na hiyo result ya DNA kusema eti huyo dem ndio mtoi wa MP pekee.

Ataenda court ndio mali ya marehemu pia mtoi wake dem apate share kama watoto wengine.

Related posts