Kioo
Sheng' Mtaani

5 Tips za Ku-enjoy life 2021

The past year ilikuwa na  maswara sana na kuna  style fulani unadai this year igo through. Mambo fulani fulani unataka kuachieve bila kusamehea. Kama unadai tips za kufanya this year irun smooth ata bila lubrication, you’re in the right place.

But  first acha tucheze na hii mada, mbona unataka  year irun  fiti? Maybe last year uliunderachieve, things hazikuwork vile inafaa ama ata ulikuwa na  loses kama wewe ni totobiashara. Usiwaitense. Wangwana husema chukua hizo  challenges ziwe motivation. Then go back and show the world haukuzaliwa tu naked, ulikuja na  brains pie.

Below nimekuandalia tips hatari za kukuona ukiomoka, ukichange lifestyle na  ata  kuimpact lives in your hood ama ata countrywide.

  1. Saka Wera/side hustle.

Kama kuna kitu husumbua sana mavijanaa,ni shida za kukosa mukuchu. Ndio umake sure hujipati kwa ngori kama hii, saka works. Kama uko na  skill, you can well start  a kasmall biz, and sell your services. Kwani iko nini?  At the end of the day, vile tu Mbogi Genje husema, form ni kuwa na sura ya Kenyatta kwa wolanje. Kuomoka aisee!

On the other hand unaezakuwa totoshule and so time kwako ni Kama dawa, very limited. You could saka kanice sidehustle kakuchunge kukikauaka. Depending na your interests,  kuna  a wide range of side hustles unaezachoose. Secret ni kukuwa mjanjez,na utafaulu kedisign.

  1. Go out.

Kama kuna kitu haitaki makasiriko ni kuhave fun. You need this. Life is boring bila ku-unwind. Depending na  area code uko, saka  places unaezafika ujinice. Form hapa ni kujipa raha, design ya self love.

If at all on the relationship department wewe ni monocotyledon, jinice kivyako. Kama uko ile whatsapp group ya dicotyledons, baas, wewe fika na mtu wako place inashika, mjikune na huko. Warning though, raha inyanyuliwe na adabu.

  1. Participate in charity.

The good book hudai,ile hand inatoa,inarushiwanga blessings mob design ya chawa kwa ngurue chafu!

The past few years, nimekuwa nikicheki galdem fulani arif wa mine akiorganize charity events. Courtesy of her, the less fortunate wamesaidiwa in one way or the other.But Njambi si ati ni sonkoree.Ni m-odinarii tu kama mimi na many other of our calibre.

But ako na dream ya kuimpact lives. With her friends, wamevisit places mob Sana around Nairobi and beyond, na imechange lives Sana. Tunaezamuita mathela wa charity events.

So this is doable. Try kuishia charity event moja au mbili this year. Volunteer your skill kama cooking, ironing au ata photography. Rusha contribution here and there na utaifind so fulfilling.

  1. Check on friends.

This is simple. Check on them. Raia yako ya inner circle ni  very important. Hii ndio mbogi yenye ni second family. Although tuko na  schedules crazy sometimes, ni poa kuwa  a third eye on your peeps. The feeling that kuna msee anakutambua ju you always have him or her in mind, ni  amazing sana. Wajanja wa law of attraction watakushoo you attract what you give.

Image courtesy

Trick naezakuslap nayo ni hii: be there when you’re needed. Sometimes its hard kuruka hapa na pale ndio mguys wako afeel unavalue friendship yenu. But if utajenga msee time anaitaji kujengwa,title ya bigman bazuu tunanyanganya Willis  Raburu tunakupea!

  1. Avoid Gossip.

Kama kuna kitu inateremsha kamisi ya heshima ni unnecessary gossip, especially ile inadownplay morio wako. The moment you become a loudmouth about life ya mtrue wako, unaanza kuburn.Unachoma kuruka!

Try kustay away from destroying reputation ya mtu ju tu unajiundia kajina. Gossip zingine hazifai. Na Kwa hio styro,baki arif mtrue, na utaheshimika adi uparare.

Nikikafunga ni ati life inadai ukue either book smart, street smart au uwe kwote. Hope the tings you do zitakuelevate to the next level na life ikue juicy. If kuna tips nimeziacha nyuma, rusha hapo kwa comment section ndio machampee wengine wakue mbele kama meza ya tai,yaani tumbo.

By: Brian Khavalaji

Related posts